
Baadhi ya wanamuziki wa Five Star Taarab wakipozi ili kupiga picha

Sabaha Salum akiimba

Mnenguaji wa Ngoma ya Baikoko akinengua

Huyu naye kutoka Baikoko akifanya vitu vyake

Mashabiki wakicheza

Wakiangalia wanenguaji wa Baikoko wakifanya vitu vyao.
Jana usiku Bendi ya Taarabu ya Five Star ilifanya onesho katika Ukumbi wa Equator Grill uliopo Mtoni kwa Azizi Ally jijini Dar es Salaam pamoja na kundi la ngoma ya Baikoko kutoka Tanga.