Baadhi wananchi mbalimbali wakiwa katika foleni ya kukata tiketi za pambano la ligi kuu kati ya watani wa jadi katika Yanga na Simba pambano litakalofanyika siku ya jumamosi kesho katika uwanja wa Taifa pambano hilo ni la kukamilisha ratiba ya ligi kuu ya vodacom mpaka hivi sasa Bingwa wa ligi kuu mwaka huu ni klabu ya Yanga Afrcan na mshindi wa pili ni timu ya Azam na Simba Sports wanashika nafasi ya tatu tunawatakia heri na fanaka timu zote kesho