Kulikuwa na lorry la mafuta linatoka njia ya Moshi to Arusha, likiwa njiani, ndio katika ku-overtake gari lingine, likapoteza balance na kupinduka eneo la kibaoni ukishatoka KIA, karibu na kituo cha mafuta cha Panone, watu wakaanza kujichotea mafuta kadri walivyoweza.
![]() | |
| HII NDO HALI YA HATARI ILIVYO WATU WAKIWA NA VIFAA VYAO ILI KUBEBA MAFUTA |

![]() |
| VIJANA WAKIAMISHA MAFUTA MALA BAADA YA KUCHOTA |

![]() |
| HALI IKAWA SHARI BAADA YA ASKARI KUFIKA |




