Saturday, 4 May 2013

AIBUUUU!!! MNAOFOSI KUWA WAKE WA WADHUNGU, SOMENI HII MUONE MWENZENU ALIVYOUMBUKA!!

Kweli fedha mwanaharamu huyu ni binti kutoka nchini ghana anae faamika kwa jina la Safuratu; binti huyu amejikuta katika matatizo makubwa baada ya picha uchi kwa lengo la kumtumia mzungu aliyekuwa anachati nae facebook kunaswa na mapaparazi.

Tukio hilo lilitokana na mzungu huyo kumtaka dada huyo apige picha hizo alafu amtumie kwa njia ya inbox kupitia facebook na kisha mzungu huyo atamtumia dola $200 kama zawadi kama angefanikisha swala hilo, lakini kwa bahati mbaya zaidi dili hilo halikuweza kufanikiwa baada ya picha hizo kuvuja na kusambaa mitandaoni.


PICHA ZINGINE NIMESHINDWA KUWEKA KWA SABABU YA MAADILI ILA NI AIBU TUPU!!