Saturday, 27 April 2013

Sherehe za Muungano zilivyosherehekewa Beijing, China zilifunika mbaya pata kuangalia yaliyojiri hapa

  Keki maalum iliyoandaliwa kwenye maadhimisho ya miaka 49 ya Muungano wa Tanzania. Sherehe hizi zilifanyika katika Hoteli ya West Inn iliyopo Beijing, China.(Picha na ZanzNews)
 
 
 Balozi Philip Marmo akiteta jambo na mmoja wa wageni walioalikwa kwenye sherehe hiyo
 
 
 Wanakikundi cha Sisitambala wakitumbuiza kwenye sherehe za Muungano
 
 
Balozi wa Tanzania nchini China, Philip Marmo akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya sherehe hiyo.