LEMA AKIWA NA MBUNGE MWENZAKE PAMOJA NA MKEWE MAHAKAMANI LEO ASUBUHIII KABLA YA KUPEWA DHAMANA
WATU WAKITOKA MAHAKAMANI.
WATU WALIKUWA WENGI ILIBIDI LEMA APANDE JUU YA GALI YEYE NA NASARI KUWASIHI NA KUWASHUKULU HUKU AKIWAOMBA WAENDE NYUMBANI WASUBULI MKUTANO SIKU YA ALHAMISI.
VIONGOZI WA CHADEMA WAKIONGEA NA WANA HABARI LEO BAADA YA LEMA KUACHIWA KWA DHAMANA.
Godbless Lema ambae ni mbunge wa Arusha mjini alishikiliwa na polisi toka mwishoni mwa wiki iliyopita kwa madai ya uchochezi wa fujo zilizofanywa na Wanachuo wa Uhasibu Arusha.