Gari aina ya Fuso likiwa limekwama katika kijiji cha Ujuni wilayani Makete huku jitihada za kulivita zikiendelea, chanzo ni ubovu wa barabara eneo hilo
Hali halisi iliyopo eneo hilo ndiyo hii
Hawa ni maafisa wa halmashauri ya wilaya ya Makete wakitembea kwa miguu kufuata magari yao mara baada ya kulazimika magari hayo kupita njia za panya ili waendelee na safari ya kwenda kwenye maadhimisho ya miaka 49 ya muungano katika kata ya Itundu
maafisa hao wakipanda magari yao tayari kuendelea na safari, hadi mwandishi wetu anatoka eneo hilo jana asubuhi fuso iliyokuwa imekwama ilikuwa haijaondolewa
(Picha na eddymoblaze njombe)







